HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 2, 2015

TOTO LEO MTAANI KWETU WAKIANDAA MIPANGO...

Toto Leo wakifurahia Jambo katika tukio la kupeana Ua kuajili ya mipango fuluani katika ubora wao kama walivyo naswa hapo...#Kamerayamtaakwamtaablog.
Batasamu mwanana kwa Toto Leo katika ubora wao na Ua lao...
Toto Leo wa Kiume akikabidhi Zawadi kwa Toto Leo wakike ishara ya Upendo, Amani na Mshikamano.
Toto Leo wa Kike akihakiki Zawadi ya Ua mara baada ya kuzawadiwa huku akiwa na mengi Kichwani kwanini kaonwa yeye pekeyake mtaa mzimaa....

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad