HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 2, 2015

MKUTANO WA KAMPENI ZA MH. LOWASSA, SUMBAWAGA MKOANI RUKWA LEO

Sehemu ya Wananchi wa Mji wa Sumbawanga, waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga Mkoani Rukwa, wakiishangilia Ndege iliyombeba Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati ikiwasili Uwanjani hapo, leo Sepremba 2, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, Ikuo Malila, baada ya kuwasilini kwenye Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga Mjini, Mkoani Rukwa, leo Sepremba 2, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mkewe, Mama Regina Lowassa, baada ya kuwasilini kwenye Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga Mjini, Mkoani Rukwa, leo Sepremba 2, 2015.
Msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ukitoka Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga na kuelekea kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kizwitwe, Sumbawanja Mjini, leo Sepremba 2, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwa ameambatana na Mkewe, Mama Regina Lowassa, wakiwapungia mikono maelfu ya wananchi wa Sumbawanga Mjini, waliofurika kwenye Uwanja wa Kizwitwe, leo Sepremba 2, 2015.
Sehemu ya Wananchi wa Mji wa Sumbawanga, wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Kizwitwe, Sumbawanja Mjini, leo Sepremba 2, 2015. Kulikofanyika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, leo Sepremba 2, 2015.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe, akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kizwitwe, Sumbawanja Mjini, leo Sepremba 2, 2015.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kizwitwe, Sumbawanja Mjini, leo Sepremba 2, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akimnadi kwa wananchi, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, Ikuo Malila, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais hiyo, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kizwitwe, Sumbawanja Mjini, leo Sepremba 2, 2015.




Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe, akizungumza wakati akitolea taarifa swala na ratiba ya Mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa (kushoto) uliofanyika kwenye Uwanja wa Kizwitwe, Sumbawanja Mjini, leo Sepremba 2, 2015.Kulia ni Mke wa Mh. Lowassa, Mama Regina Lowassa.





3 comments:

  1. MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU MBARIKI MWINUE JUU ZAIDI MKINGE NA MAHASIDI WABAYA WAOVU WENYE NIA CHAFU ZA HUSUDA DHIDI YA MPENDWA WETU KIPENZI CHA KWELI CHA WATANZANIA TULIO WENGI MHESHIMIWA EDWARD NGOYAI LOWASSA RAIS MTARAJIWA WA AWAMU YA TANO

    ReplyDelete
  2. Ameeeen.. watanzania woote tuungane safari ya mabadiliko ni ni jambo la heri.. Lowassa upo juu.
    hakuna kama wewe na ikulu ndio makazi yatakayo kufaaa mtu wa watu kama wewe. mungu ibariki Tanzania..

    ReplyDelete
  3. MHESHIMIWA LOWASSA,SALAAM SISI WATANZANIA TUMEKUWA TUKIFUATILIA ZIARA YAKO YA KAMPENI TANGU AUGUST 30 KUPITIA KWA MPIGA PICHA MAHILI KULIKO WOTE TANZANIA KWA HIVI SASA BWANA OTHMAN MICHUZI.TUNAPENDEKEZA NA TUTAENDELEA KUPENDEKEZA OTHMAN AWE NDIYE MPIGA PICHA MKUU WA IKULU IJAYO YA MHESHIMIWA LOWASSA

    ReplyDelete

Post Bottom Ad