HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 20, 2015

MAKUNDI MATANO YATINGA FAINALI YA SHINDANO LA DANCE100%

 Kundi la Wazawa crew  la Tandale jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dansi  wakati wa  Nusu fainali ya shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi
 Vijana wanaounda Kundi la WDW la  jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dansi wakati wa  Nusu fainali ya shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi 
 Kundi la Quality Boys la  Temeke jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dansi wakati wa  Nusu fainali ya shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi
 Vijana wanaounda Kundi la WDW la  jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dansi wakati wa  Nusu fainali ya shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad