HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 19, 2015

HABARI KUTOKA TELEVISHENI

AZAM TV: Mhe.Lowasa awaomba wananchi wa Mleba kumpigia kura ili aweze kutekeleza adhma yake ya kuwatumikia wananchi; https://youtu.be/VkTOsMHTP-I

CH 10: Mgombea mwenza CCM Samia Suluhu atinga kisiwani Mafia na kuwaelezea wakazi wa kisiwa hicho ilani ya chama hicho; https://youtu.be/8FAmnOwHPiU

 huku wananchi wa kisiwa hicho wakieleza matatizo yao kwa mgombea huyo.

tbc: Raia 40 wa Ethiopia wanashikiliwa na jeshi la polisi Mkoani Lindi kwa kuingia nchini bila kuwa na kibali; https://youtu.be/KJ0X9vKqiao

star tv: Vyombo vya habari nchini vimetupiwa lawama kwa kushindwa kuarifu umma juu ya hatari ya kuzipoteza rasilimali za asili;  https://youtu.be/1uiT18BT8qg

MLIMANI TV: NCCR Mageuzi kimeibuka na kudai kuwa kimebaini kuwa kuna watu wameibuka wakiwa na nia ya kuwadhuru viongozi  wao; https://youtu.be/m50IiIcEQoM

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad