Mkurugenzi Mtendaji wa Mgodi wa Geita-GGM
Bw. Terry Mulpeter, akikabidhi Msaada wa vifaa vya ukarabati wa madarasa
ya shule ya Msingi Geita vyenye thamani ya shilingi milioni 30 katila kijiji
cha Mpomvu Mkoani Geita,Kulia ni Mkuu wa Shule Leah Mihayo akipokea msaada huo.
No comments:
Post a Comment