HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 24, 2015

BARABARA YA KINONDONI MAHAKAMANI- JIJINI DAR ES SALAAM YAKARABATIWA

Mafundi wakiwa katika matengenezo ya barabara ya Mahakama ya Mwazo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kama ilivyonaswa na kamera ya mtaa kwa mtaa .
 Hali halisi ya kipande cha kutokea katika hospitali ya Mvungi Kinondoni mafundi wakiwa kazini.
Mafundi wa Barabara wakiendelea na kazi katika eneo la ya kuelekea  Mahakama ya Mwazo ya  Wilaya ya Kinondoni Jiji Dar es Salaam leo.
Picha na Emmanuel Massaka

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad