HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 1, 2015

WIZARA YA FEDHA-IDARA YA BAJETI KATIKA MAONYESHO YA 39 YA KIBIASHARA JIJINI DAR ES SALAAM

Mchumi Mkuu wa Wizara ya Fedha Idara ya Bajeti, Adam Msumule akizungumza na Michuzi Blog mara baada ya kutembelea banda la Wizara ya Fedha  kuhusiana na bajeti iliyopitishwa hivi karibuni Bungeni Dodoma katika maonyesho ya 39 ya kibiashara yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.Kulia ni Msimamizi  Mkuu wa fedha- Wizara ya Fedha Idara ya Bajeti, Moses Ndeutwa.
Wananchi wakipewa maelekezo katika banda la wizara ya Fedha Idara ya Bajeti katika maonyesho ya 39 ya kibiashara ya Sabasaba yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. 
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha Idara ya Bajeti katika maonyesho ya 39 ya kibioashara yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad