Ujumbe wa Mfuko wa GEPF nchini Tanzania na Mwenyekiti wa Watanzania waishio nchini Botswana wakiongozwa na Meneja Mahusiano wa Benki ya FNB Botswana, Bibi Patricia Mpelega (wa pili kushoto) wakati wakielekea kwenye tawi (Branch) la benki hiyo kwaajili ya uzinduzi wa akaunti maalum ya kuwasilisha michango kwa Watanzania wainshio nchini humo, kwa kujiwekea akiba zao za baadae.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko kutoka Mfuko wa GEPF, Aloyce Ntukamazina (wa tatu kulia) akimpa maelezo mafupi juu ya mpango huo wa GDS Meneja Mahusiano wa Benki ya FNB Botswana, Patricia Mpelega, muda mfupi kabla ya kuzindua akaunti maalum.Wengine pichani ni Mwenyekiti wa watanzania waishio Botswana, Nieman Kissasi (kulia) na Meneja wa Mkoa wa Ilala Bw Jafari Meraji .

Bi
Patricia Mpelega akimpongeza Mwenyekiti wa watanzania waishio Botswana, Nieman Kissasi baada ya kukamilisha zoezi la ufunguzi rasmi wa akaunti ya Diaspora
Botswana

Mwenyekiti
wa Watanzania waishio Botswana Bw Nieman Kissasi akikamilisha utaratibu
wa kuwasilisha michango yake kama ishara ya uzinduzi rasmi wa akaunti
hiyo kulia kwake ni Meneja wa Mkoa wa Ilala Bw Jafari Meraji

Mwenyekiti
wa Watanzania waishio Botswana Bw Nieman Kissasi akiwasilisha mchango
wake katika akaunti maalum ya Diaspora kwa ajili ya akiba yake kupitia
Mfuko wa GEPF

Ujumbe kutoka Mfuko wa GEPF pamoja na Mwenyekiti wa Watanzania waishio Botswana wakiagana na Meneja wa Tawi la FNB Botswana




These are highly welcome developments. I sincerely hope that many Tanzanians living in Botswana will benefit from GEPF
ReplyDelete