
Mwanamuziki wa Dance nchini Kongo, Fiston
Lusambo (Filsa Papa) akizungumza na Globu ya Jamii juu ya ujio wao hapa nchini katika
hoteli ya Don Suite iliyopo Ilala, Bungoni jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa
Wanamuziki kutoka Kinshasa nchini Kongo, Nzaya Nzayad akizungumza na
Globu ya Jamii juu ya ujio wao hapa nchini. Katika
mazungumzo hayo yaliyofanyika katika hotel ya Don Suite iliyoko Ilala,Bungoni
jijini Dar es Salaam amesema amekuja jijini Dar es Salaam kutokana na mashabiki wa
muziki wa hapa nchini.
(Picha na Bakari Issa)
No comments:
Post a Comment