Bwana Masinde Bwire kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira akiwasilisha mada juu ya mabadiliko ya Tabia Nchi kwenye warsha ya
Wadau kuhusu mipango ya kuhimili mabadiliko ya tabianchi iliyoandaliwa na Ofisi
ya Makamu wa Rais.
Profesa Kangarawe akiwasilisha mada katika warsha hiyo
mjini Bagamoyo.
Sehemu ya Wadau waliohudhuria wrsha hiyo wakifuatilia kwa
makini uwasilishaji mada juu ya mabadiliko ya Tabia Nchi.
Wajumbe waWarsha hiyo wakiwa katika magrupu kwa ajili ya
kujadili kile walichofundishwa katika warsha hiyo.
No comments:
Post a Comment