Katika pita pita za Kamera man wa Mtaa kwa Mtaa ndani ya Jiji la Arusha, ameweza kuinasa taswira hii mwanana kabisa ya Jamaa huu aliekuwa akisukuma kokoteni lake kwa makeke na mbwembwe za aina yake. haikufahamika mara moja ni kitu gani kilichomfurahisha kiasi kwamba mizuka ikampanda namna hii.

No comments:
Post a Comment