HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 6, 2015

Mfuniko wa Kipekee katika Shimo lililopo Mtaa wa wa Togo Kinondoni Jiji Dar

Katika pita pita za kila siku za Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog, Ilibahatika kukatika katika Mtaa huu wa Togo uliopo Kinondoni Jiji Dar es Salaam, na kukutana na Mfuniko wa waina yake katika moja ya shimo kubwa lililopo kwenye Mtaa huo. Lakini hivi ni kweli Mfuniko huu umekidhi haja ya Shimo hili???
Baadhi ya wakazi wa maeneo ya mtaa huo wakipita kando ya shimo hilo.

1 comment:

  1. Michuzi blog yako ni nzuri sana. Inatuelimisha sana kwa picha zako maridadi kabisa. Keep up the good work bro.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad