HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 3, 2015

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji latoa elimu kwa umma juu ya uzimaji moto

SGT Damian Muheya kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kitengo cha Habari na Elimu kwa Umma akionesha jinsi ya kuzimamoto kwa kutumia fire blanket wakati wa mafunzo ya matumizi ya vifaa vya kuzimia moto vya huduma ya kwanza katika kituo cha daladala cha Mawasiliano – Ubungo jijini Dar-es-Salaam, Tarehe 2/7/2015.
SGT Damian Muheya kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kitengo cha Habari na Elimu kwa Umma akitoa mafunzo ya Kinga na Tahadhari ya majanga ya moto kwa abiria, madereva na makondakta tarehe 2/7/2015 katika kituo cha daladala cha Mawasiliano - Ubungo jijini Dar-es-Salaam. Picha na FC Godfrey Peter

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad