HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 19, 2015

UKITAKA KUJUA NGUVU YAO KUBWA IKO WAPI WACHOKOZE UONEE....

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa blog ilipo kuwa katika heka heka yake ya kila siku kuhakikisha libeneke lako pendwa halilali njaa ilifanikiwa kunasua baadhi ya taswirazz za masai walio kuwa wamekula pozz mahala kwa kungojea jambo furani huku wakiwa na baadhi ya sime kuajili yakuhakikisha usalama unakuwepo karibu yao....picha na Mtaa kwa Mtaa blog.
hapa sasa kama wewe kidume jaribu kujitia kiburi kidogo kwa kuwaletea zengwe kidogo hapo...

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad