HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 19, 2015

MAMBO MENGINE HUWA TUNAJITAKIA WENYEWE....

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa blog ilifanikiwakumnasa mdau huyu pichani akiwa katika heka heka yeye sambamba na kipandwa chake huku akiwa ameshikilia Roli kwa lengo la kumsaidia apate ulahisi wa kuteleza kwenye mkeka huo bila kujari usalama wake kwani nihatari juu ya mchuma huo lolote linaweza kutokea hapo..
ona sasa mwenyewe hapo foreni la magari arafu ukizingatia barabara hiyo si rafiki kabisa...
mchuma huo ukifunga.bleki au kipandwa kikipiga mweleka unahisi nini kitatokea hapo.....?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad