HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 9, 2015

MBWEMBWE ZA USAFIRI.

 Baada ya kutoka shule na mbwembwe nazo ninanafasi yake katika chombo chake cha usafiri.
 Pita uzame hili ni eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam ambapo maji yamefunikwa na majani pamoja na takataka.
Baada ya kazi ni mapumziko chini ya kivuli cha bango lililopo barabarani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad