HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, June 21, 2015

KIDUME KIKIWAJIBIKA....

Kamera ya mtaa kwa mtaa blog ilimnasa jamaa mmoja jina lake kapuni akiwajibika kusawazisha baadhi ya vibao vya mbao kwenye moja ya matumizi katika kuandaa jambo..
Shoka ikitua kwenye moja ya kibao cha mbao..
kidume kiki tumia mabavu aliyo jaaliwa kusawazisha vibao hivyo....
Kidume hicho kilipo stukia mchezo kuwa kamera ya mtaa kwa mtaa ina mnasua....unajua nini kilitokea hapo...??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad