Siku zote dereva anapo endesha chombo kama hiki na anapo kuwa na msaidizi wake (Tingo) huwa wanapo kuwa kwenye barabara au kwenye mitaa Tingo huwa ana kula shavu la kuketi kwenye chombo kama hicho katika taswira hapo juu kumuachia dereva wake kufanya yake ila chombo kikifika Tingo zamu yake nae sasa kumuachia dereva wake kula shavu kwa kuweka vigogo, kushusha mizigo na mambo mengine mengine anayo paswa kuyafanya msaidizi wa dereva (Tingo).
hapo tingo akiwa amekunja nne raha mustarehee.
chombo kikisha paki tuu tingo zamu yake kushukaa..
No comments:
Post a Comment