HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 21, 2015

YALEEE YALEEEEEEE......: LORI LAZIMA KATIKATI YA BARABARA

 Katika pita pita, kameta ya Mtaa kwa Mtaa ilikatiza eneo la Tabara Reli na kukuta Lori hilo likiwa limefunga barabara baada ya kuzima ghafla kutokana na hitilafu kwenye gari hilo na kupelekea msongamano wa magari kuwa mkubwa.
 Utingo wa Lori hilo akijaribu kufanya utaalamu wake ili kuliondoa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad