HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 29, 2015

WATOTO WAKIJINAFASI KWENYE KIOTA CHA CHUMA KILICHOPO ENEO LA MAKUNGURU MBEYA.

Kamera ya mtaa kwa mtaa ilikucha moja kwa mjo na eneo hili katika matembezi yake ya kila siku na kushuhudia jinsi hali ya mambo ilivyo katika kiota cha chuma kilichopo eneo la makunguru jijini mbeya kikiwa kimevamiwa na watoto wa mtaa huo.picha na mtaa kwa mtaa blog.
watoto hawa wakiwa na michezo ya hapa na pale kwenye kiota hicho.
hapa wengine wakiwa wanabembea kwenye kiota hicho, huku wengine wakiokota baadhi ya vitu vilivyopo kwenye kiota hicho walicho pewa na mtaa ikiwa ni kama sehemu yao pendwa.
hapa wakikodolea kamera ya mtaa kwa mtaa baada ya kugundulika kuwa wanachukuliwa baadhi ya taswirazz unafikili ndio waliacha kucheza....ohooo..yani mchezo sasa ndio ulizidi....endelea kufuatilia hapa hapa kila siku ili ujue kilicho endelea hapo mara baada ya kuiyona kamera.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad