gunia nne zingine kwa jamaa akiwa taratibu pembezoni mwa barabara.

wengine nao wakishindana kukimbiza vipandwa vyao huku wakiwa na mizigo kwenye vitako vya baiskeli zao.
mdau akifanya makeke ya kulaza kipandwa chake kwa kupiga pedeli.
vikapu ndani ya vipandwa.
wengine wakijiongeza kusukuma vipandwa vyao mara baada ya kuchoka na kilometa 30 walizo zimaliza.
hakuna alie thubutu kupanda kipandwa chake kwenye kimuinuko hicho.
oooohhhhhhh... ohhhhhhhhh..... ohhhhhhhh...... ooooooh.
hiki ndiyo kidume kilicho ukabili muinuko huo kwa kuonyesha jeuri ya kupanda kipandwa chake huku kikipandisha muinuko huo na mzigo kama kawaida.
No comments:
Post a Comment