HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 13, 2015

WAKINA POPI...WAMEINGIA MTAANI KWETU SASA....

Mtaa wetu uli kumbwa na ukimya kwa muda kutokana na msafara wa wakina popi walio kuwa wakipita mtaani kwetu na wamiliki wao wanao waweka mjini,huku wakina popi hao walio onekana kuwa wenye hasira kali na hamu ya kupata kiungo chochote chenye asili ya nyama na mifupa endapo ukajisogeza tuu vibaya basi lazima uwapatie kiungo watakacho kichagua.picha na mtaa kwa mtaa blog.
    watu wengine walionekana kupita pembeni kuepuka zengwe la mbwa hao.
mama akajikatia mshipa wake wa uwoga kwa kusiumama na mwanae kusubiri wakina popi hao wapite.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad