Hofu ya kukatika mawasiliano kati ya eneo la Tabata Bima na Tabata Kimanga jijini Dar es Salaam kwa njia ya barabara ni makubwa endapo ukarabati wa haraka hautafanyika katika eneo la Tabata Chama jirani na Shule ya Msingi Darajani, kufuatia uharibifu uliotokana na mvua katika barabara ya Kimanga kama inavyoonekana pichani.
Hali ilivyo katika barabara hiyo. Picha zote na Father Kidevu Blog
No comments:
Post a Comment