
Baadhi ya watalii wa ndani wakiwa eneo la
kambi ya Tembo wakisubiri magari madogo ya hifadhi ya taifa ya mlima
Kilimanjaro (KINAPA) kwa ajili ya kuwachukua kuwapeleka katika hifadhi
hiyo. 

Magari yaliyokuwa yakitumiwa na watalii wa
ndani waliokuwa wakipanda kwenda kilele cha Shira yakiwa yameegeshwa
baada ya kushindwa kuendelea na safari kutokana na ubovu wa barabara.
Safari ya kuelekea kilele cha Shira ikianza.
Watalii wa ndani walilazimika kupanda magari ya aina hii ili kufika katika kilele cha Shira.
Afisa
Masoko wa hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro Antypas Mgungusi
akizungumza jambo mbele ya watalii wa ndani mara baada ya kufika Lango
la Londros kwa ajili ya kuanza safari ya kuelekea kilele cha Shira.
Wengine waliamua kupumzika njiani.kama anvyoonekana m,wandishi James Paul wa ITV.
Wengine walikuwa na furaha mara baada ya kufika katika uwanda wa Shira.
Watalii wa ndani wakielekea katika kilele.
Hali ya hewa katika eneo hili ni ya kubadilika .
Baadhi ya watalii wa ndani.










Hatimaye
magari yaliyokuwa yameshindwa kupita kutokana na ubovu wa barabara
yalifanikiwa kupita na kupanda kuwachukua watalii wa ndani.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment