
Meneja Matukio wa TBL mkoa wa Dar es salaam, Zozimick Kimati (kushoto) akikabidhi sehemu ya jezi kwa Bw. Hamis Mwango, zilizotumiwa na timu mbali mbali zilizoshiriki kwenye Bonanza la Michezo lililodhaminiwa na TBL, ikiwa ni sehemu ya kuendeleza michezo nchini.
Meneja Matukio wa TBL mkoa wa Dar es salaam, Zozimick Kimati (kati) akizungumza jambo na uongozi wa Timu ya Mshikamano Veterans kabla ya kuingia uwanjani kukipiga na timu ya Uhuru veterans.
Kikosi
cha Makabe Veterans wakiwa kwenye picha ya pamoja tayari kwa mtanange
wa Bonanza la michezo lililodhaminiwa na TBL, ikiwa ni sehemu ya
kuendeleza michezo nchini.
Kikosi cha Mshikamano Veterans kikiwa kwenye picha ya pamoja tayari kwa
mtanange wa Bonanza la michezo lililodhaminiwa na TBL, ikiwa ni sehemu
ya kuendeleza michezo nchini.
Kikosi cha Uhuru Veterans.
No comments:
Post a Comment