
Mama huyu ambaye jinalake halijapatikana akiwa amepanda bodaboda yeye mtoto wake na mzigo bila ya kujali maisha yatakuwaje endapo watadondoka, huku derevawao akiwa anaendesha pembeni ya barabara maeneo ya Kimara Temboni, jijini Dar leo jioni.

Watalii
wakiwa wamepanda bodaboda kwa mtindo wa mshkaki bila kujali sheria za
usalama barabarani maeneo ya sinza Afrikasana, jijini Dar leo mchana. picha zote na Chris Mfinanga.
No comments:
Post a Comment