HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 25, 2015

TAMASHA LA MIGEBUKA CHOMA LAFANA MKOANI KIGOMA

 Baadhi ya watayarishaji wa chakula wakiwaandaa samaki aina ya migebuka tayari kwa ajili ya kuwauzia wateja wao katika tamasha la Migebuka (Migebuka Festival) lililofanyika mjini Kigoma.
 Samaki aina ya migebuka wakianikwa tayari kwa ajili ya kuchomwa .
 Maandalizi yakiendelea
 Mr.Eliud mmoja wa wapishi maarufu wa mjini Kigoma akiandaa migebuka ya kuchoma kwa ajili ya wateja wake.
 Wadau waliohudhuria tamasha hilo wakila Migebuka na ugali aina ya Loe
 Mkurugenzi wa Rachel Salon ya Mjini Kigoma Rachel Elias (wa pili kushoto) akitoa maelezo kwa Mkuu wa wilaya Kigoma Xavery Mwangasame Maketa (kulia) kuhusu aina tofauti tofauti za uandaaji wa samaki kwa ajili ya kuliwa.
 Baadhi ya washiriki wa tamasha la migebuka wakitoa maelezo kwa Mkuu wa wilaya kigoma Xavery Mwangasame Maketa alipokuwa akitembelea katika mabanda yao.
 Baadhi ya washiriki wa tamasha la migebuka wakitoa maelezo kwa Mkuu wa wilaya kigoma Xavery Mwangasame Maketa alipokuwa akitembelea katika mabanda yao.
 Mkuu wa wilaya Kigoma (wa pili kulia mwenye suti na tai) akipata maelezo namna ya utengenezaji wa mishikaki ya samaki kutoka kwa Mr.Eliud wa mjini Kigoma wakati wa Tamasha la Migebuka.
 Mratibu wa tamasha la Migebuka Festival Iddi Msabaha akitoa maelezo kwa mgeni rasmi kuhusiana na tamasha hilo.
 Mkuu wa wilaya Kigoma (wa pili kulia mwenye suti na tai) akipata maelezo namna ya utengenezaji wa mishikaki ya samaki
 Mratibu wa tamasha la Migebuka Festival Iddi Msabaha akitoa maelezo kuhusiana na tamasha hilo.
 Amour Bend ya mjini Kigoma ikitumbuiza.
 Mkuu wa wilaya Kigoma akitoa hotuba wakati wa tamasha hilo akimwakilisha Mkuu wa Mkoa Kigoma Issa Machibya.
 Mkuu wa wilaya Kigoma akitoa hotuba wakati wa tamasha hilo akimwakilisha Mkuu wa Mkoa Kigoma Issa Machibya.
 Wadau mbalimbali wa mjini Kigoma wakijumuika kwa kula mgebuka na vinywaji mbalimbali.

 Wadau mbalimbali wa mjini Kigoma wakijumuika kwa kula mgebuka na vinywaji mbalimbali.

 Msanii wa Bongo Fleva Baba Revo akiburudisha kwenye tamasha la Migebuka mjini kigoma.
Msanii Bob Junior akitumbuiza katika tamasha la mgebuka lililofanyika mjini Kigoma.
 Picha zote na Editha Karlo wa Globu ya Jamii, Kigoma

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad