HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 10, 2015

MZEE AKIJIPANGIA BAJETI YAKE CHEMBA.....

Kamera ya mtaa kwa mtaa blog ilizinasa baadhi ya taswirazz za mzee janja akihesabu mavumba kando kidogo na nyumba aliyo kwepo mtaa wa nanii na kujipangia bajeti kwa mahesabu makali mtaani hapo kama aonekanovyo kwenye taswira hapo juu.picha na mtaa kwa mtaa blog.
"laki moja kuajili ya kideo, alafu hii elfu hamsini ni wabalansi wajukuu, itakayo baki hapa ni kutumbua tuu mwendo wa kujivinjari na wazee wenzangu"
baada ya kumaliza bajeti sasa zinaingia moja kwa moja kwenye vitunza vya koti la sutii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad