HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 5, 2015

MREMBO AKIBADILI MUONEKANO WA NYWELE ZAKE KWA KUCHOMA MOTO.

Taswirazz ya mwanadada mmoja mitaa ya changanyikeni akitia kibeliti nywele zake za awali alizo kuwa ameweka kwenye kichwa chake hatimae kuzichoma mara baada ya muda wa nywele hizo kufika tamati.picha na mtaa kwa mtaa blog.
         dogo kushoto akishuhudia tukio zima la uchomwaji wa nywele hizo.
nywele zikiteketea mara baada ya kupigwa kibiliti.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad