HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 5, 2015

MATUNDA YAKITAYARISHWA.

 Katika katiza katiza za mtaa kwa mtaa leo kama ilivyo kawaida yake ikapenya moja kwa moja kuangaza utaalamu wa wataalamu wakutengeneza vyakula mtaa wa jirani pale.picha na mtaa kwa mtaa blog.
 huyu jamaa ndio muonjaji mkuu wa vijungu na hapa akionja kipande cha tunda huku akiendelea kuterezesha kisu kwenye tikiti nono.
 hapa mambo ni mswano kabisaaa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad