
hapa ng'ombe zote zikipiga gwaride sambamba.
ng'ombe hizo zikiendelea kukata mitaa.
makukubaliano ya mmiliki wa ng'ombe hizo waliyo wekeana na ng'ombe hizo ni kwamba hakuna kula nyasi za njiani hata moja mpaka wa malize maandamano.
mzee akiwa pembeni ambako baadhi ya ng'ombe zilikuwa zikivizia kula nyasi wakati sio makubaliano yao.
lami ilee kuashiria ndio mjini kunakaribia sasa.
No comments:
Post a Comment