HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 9, 2015

lori lapiga mweleka eneo la Mdaula mchana wa leo

Lori lenye namba za Usajili T 782 AUY likiwa limeanguka kando ya Barabara ya Morogoro, eneo la Mdaula mchana wa leo. Haijafahamika kama kuna mtu kapoteza maisha au kujeruhiwa.Picha na Mdau wa Mtaa kwa Mtaa blog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad