Lori la Mizigo lenye namba za usajili T 105 AVS likiwa limekata barabara baada ya tela lake kufeli breki na kutaka kwenda kichakani katika eneo la Kwedikwazu, Barabara kuu ya Chalinze - Segera, Mkoani Pwani.

Gari zingine zikilazimika kupita pembeni ya lori hilo baada ya maswahibu hayo.

No comments:
Post a Comment