HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 28, 2015

KILA MTU ANAJUA YEYE ALIPO LALA.....

Kamera ya mtaa kwa mtaa iliinasa taswirazz za mdau alie kuwa bado amelala kwenye godoro mwanana kabisa nje kidogo ya nyumba ya jirani huku bado akiwa kwenye njozi za kufariji huku ndala zake zikiwa chini kuusubiri mguu tuu..picha na mtaa kwa mtaa blog.
hapo full kukoroma tuuu...
Endapo wahusika wa mgahawa huo wakifungua mlango moja kwa moja lazima wakutane na mgeni.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad