HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 25, 2015

HAYA MAGAZETI YANASOMWA KWELI HAPA....

 Kamera ya mtaa kwa mtaa iliwanasa wadau hawa wakiwa kijiweni wakisoma magazeti kwa uturuvu na udadisi wa aina yake kama waonekanavyo pichani mmoja (shoto) akichunguruia gazeti la mwenzake huku nae akiwa na lake bila shaka nia yake ni kuangalia picha tuu... kwenye magazeti hayo.....picha na mtaa kwa mtaa blog.
                                            wadau hawa wakiendelea na kisomo.
magazeti kama yanasomwa vileee...

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad