HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 16, 2015

FUNDI WA GARI HACHAGUI NGUO YA KUPIGA NAYO MBIZI CHINI YA GARI

Basi katika pita pita zake huko mitaani, kamera ya Mtaa kwa Mtaa imemnasa fundi huyu akiwa kapigilia zake shati nyeupe na kapiga nalo mbizi chini ya uvungu wa gari akipiga spana kama kawa. akimaliza hapo lazima atesti kama ndinga imekaa sawa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad