HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 10, 2015

CHOCHORO ZA MTAANI KWETU ZINA MAMBOO.

Hii ni chochoro korofi sana mtaani kwetu na huu ni moja ya mtego ulio jitengeneza katika chochoro hiyo ukinasa tuu... basi ujue tunaokota vipande vya miguu.picha na mtaa kwa mtaa blog.
ona jinsi ambavyo kipande cha bati kilicho meguka na kuning'inia kwenye chochoro hiyo.. ndo unatoka kazini sasa unarudi maskani kwa kukimbia arafu ghafra unakumbana na mtego huo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad