HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 21, 2015

Chewing gum ya Double Mint yazinduliwa jijini dar

 Meneja Mkazi wa Kampuni ya Wrigly, Emmanuel Laswai akizungumza wakati wa uzinduzi wa bidhaa mpya ya Double Mint (Chewing gum) lenye ladha za Menthrol na Papper Mint uliofanyika kwenye Ukumbi wa Danken, Mikocheni jijini Dar es salaam.
 Sehemu ya wageni waalikwa katika uzinduzi huo.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Wrigly watengenezaji wa bidhaa mpya ya Double Mint (Chewing gum) wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Danken, Mikocheni jijini Dar es salaam

1 comment:

  1. samahani naweza pata location ya hawa jamaa hapa dar es salaam

    ReplyDelete

Post Bottom Ad