HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 12, 2015

CHEM CHEM ISIYOKAUKA SASA YAONGEZA KIWANGO CHA UTOAJI MAJI

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa imebahatika kukatiza maneo haya na kukuta maji yakititirika kwa wingi toka kwenye chem chem isiyokauka na kupelekea eneo lote la jirani na chem chem hiyo kusheheni maji kwa wingi.Mtaa kwa Mtaa ilizungumza na baadhi ya wakazi wa maeneo ya jirani na chem chem hiyo ambao wao walisema kuwa chem chem hiyo ipo kwa muda mrefu na huwa inanoga zaidi hasa inapofika kipindi cha mvua kama hiki kwani huwa inatoa harufu mwanana kabisa.
 Maji yanayotoka kwenye chem chem hiyo yakiwa yameeneea kila kona.
Chem chem hiyo imepelekea eneo kili kuonekana kama bwawa vile.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad