HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 25, 2015

BODABODA WANAOKIUKA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI WAANZA KUDAKWA

SAM_2937
Askari wa usalama barabarani mkoani Arusha wakimkamata mwendesha bodaboda(aliyevalia fulana nyuepe)leo kwa kukiuka sheria za barabarani katika eneo la boma mkabala na ofisi za TTCL jijini Arusha ,hata hivyo dereva huyo alichomoka na ufunguo wa pikipiki na kuwaacha askari hao wakishangaa(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
SAM_2938

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad