HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 26, 2015

BILA UBABA AMUENDI EEE.....

Kamera ya mtaa kwa mtaa mapema leo ilipata kushuhudia sekeseke la mmiliki wa duka (jina lake halikuweza fahamika) eneo la kabwe jijini mbeya akizozana na baadhi ya wafanya biashara walio karibu na duka lake (halipo pichani) pale alipo wataka watoke kwenye eneo lake la kuegeshea gari..picha na mtaa kwa mtaa blog.
mdau huyo mwenye duka (halipo pichani) jirani na eneo la kabwe karibu na wafanya biashara ndogondogo eneo la jijini mbeya akiwa anaingia kwenye mchuma wake baada ya kushindana kauli na wafanya biashara hao.
wafanya biashara hao nao bado ni wabishi kutoka wakiendelea kusafisha vinywa kwa jamaa kwenye gari.
mdau huyo mwenye hilo gari alilazimika kutumia nguvu kupaki gari lake na kulisogeza pale alipo pataka.
akishuka mara baada ya kuegesha gari hilo.
"waeche wandelee kujinong'ona mimi kazi tuu, na nikiwakuta tena ooohh."
"hapa sasa shughuri imeisha mhhh!!!"
baada ya kumaliza kuegesha gari lake mdau huyu akaendelea na shughuri zake kama kawaida.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad