Kamera ya mtaa kwa mtaa ikiendelea na huduma ya kukuletea tasworazz za mitaa mbalimbali ikabahatika kuwanasa wanafunzi wa shule ya msingi ............ wakijisomea kwenye moja ya chochoro kolofi mtaani kwetu kama waonekanavyo pichani sijui kwa nini wametoloka shule na kuja kuanzisha dalasa huku.
pindi la nguvu likiendelea chocholoni hapo.
PICHA NA MTAA KWA MTAA BLOG.
Thursday, April 23, 2015

Home
Unlabelled
WANAFUNZI WAKIPATA ELIMU KATIKA CHOCHORO KOROFI MTAANI KWETU.
WANAFUNZI WAKIPATA ELIMU KATIKA CHOCHORO KOROFI MTAANI KWETU.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment