HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 23, 2015

HATULIPI HATA MIA HAPA.

 Hii ndio tabia ya daladala nyingi zinazofanya safari za kuzunguka katika mji kutembea na mafuta kisosa leo daladala moja imejikuta ikipoteza shikeli mala baada ya mafuta kukata katikati ya barabara atimae abilia wote kupiga chini na kuonesha msimsmo kwa kutolipa hata mia na kwenda kutafuta gari nyingine.
   Abiria wakionesha ununda katika swala zima la kuangaikia gari nyingine.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad