HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 21, 2015

USIKU WA JIONEE ULIVYOBAMBA JIJINI MBEYA

Wakili Sambwee Shitambala akizungumza jambo na baadhi ya wadau na wasanii wa muziki wa Kizazi kipya mkoa wa Mbeya katika tafrija iliyo fanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Gorden City hotel, uliopo eneo la Sae  na hii ni baada ya kuzindua albamu ya msanii berdon mnyama iendayo kwa jina la "Jionee",iliyo sapotiwa na media mbali mbali ikiwemo vituo vya radio zote za jiji la mbeya sambamba na Michuzi Media Group.picha na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) globu ya jamii Mbeya.
 Msanii anae fanya vizuri katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya Jijini Mbeya, Berdon Mnyama ambae ndie alie zindua albamu yake hivi karibuni iendayo kwa jina la Jionee akizungumza na baadhi ya wadau na wasanii wa muziki wa kizazi kipya katika hafra hiyo iliyofanyika hivi karibuni jijini mbeya.
 Wakili Sambwe Shitambala (shoto) akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa wasanii Berdon Mnyama na Petronia kwa lengo la kumpongeza kwa kazi kubwa anayo ifanya juu ya kudhamini na kuwajali vijana hususani wasanii katika tasnia mbalimbali mkoani mbeya.
 baadhi ya wasanii na wadau wa sanaa walio hudhuria katika hafra hiyo iliyo fanyika hivi karibun jijini mbeya.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad