utafutaji wa vitu kadhaa ukiendelea kwa wadau pichani eneo la nsalaga.
takataka ni nyingi kwani hapa huwa kuna jumla na lejaleja.
vibaba vya makopo viki subiri wenyewe waje.
hii ni bara bara ya kuingia na kutoka kwa gari jiji na mengineyo yanayo leta vitu gulioni hapo.

gulio likiwa limechanga mka kwa kilaani ya uchafu eneo hilo.
Kibao cha kata shoto eneo hilo la Nsalaga Jijini Mbeya ambapo uchafu wote wa jiji huifadhiwa mahala hapo kutoka maeneo mbalimbali ya jiji la Mbeya. na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) Mbeya.
No comments:
Post a Comment