huyu akiwa ametoka sehemu nyingine na kuenda kuteka maji sehemu nyingine.
vipandwa vyote hii ndio kazi yao kuu huku.
mdogo mdogo kuelekea kufuata maji kilometa themanini (80) mbele.
hapa ndio tuna pata maji kwa wingi kwa kupanga foreni.
mdau akipumzika pembezoni mwa barabara kwani alipo toka kufwata maji ni siri yake.
siku zote libeneke lako pedwa lina upendo na kujaliana na kila mtu kama hapo kamera mani wetu machachari bwana Fadhiri Atick (Mr.Pengo) akijaribu kutoa msaada kwa watoto hao pichani pindi walipo kuwa wakienda kuteka maji kisimani.
No comments:
Post a Comment