Katika pita pita za Mitaani kila kukika, Leo Kamera yetu iliweza kunasa Taswira ya Watoto hawa katika Maeneo ya Bwawani, Kinondoni Jijini Dar es salaam wakipigana msasa kwa mtindo wao wenyewe kuhusu swala zima la Mchezo wa Soka.Hili ni jambo jema sana na kama Watoto hawa wakiwezeshwa wataweza zaidi na zaidi.
No comments:
Post a Comment