HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 4, 2015

LEO BAADA YA KUPIGA STORI KADHAA KUHUSU MUSWADA WA SHERIA ZA MTANDAO NDANI YA EFM

 Mtangazaji wa Radio 93.7 EFM ya jijini Dar es salaam, Samira Kiango (pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Wadau wa Tasnia ya Habari za Mitandao (Social Media), Clarence Mulisa kutoka Global Publishers (kulia), Fredrick Bundara kutoka Bongo Five (pili kushoto) pamoja na Othman Michuzi, mara baada ya kumalizika kwa kipindi cha Mezani, kilichokuwa kikijadili swala zima la Muswada wa Sheria za Makosa ya Mtandao 2015, kilichoruka hewani mapema leo asubuhi.Alieketi ni Johnbosco Kamili wa EFM.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad