Kutokana na uhaba wa usafiri katika maeneo mengi ya vijijini, imewapelekea wakina Mama hawa kutembea kwa miguu kutoka maeneo ya Kijiji cha Tingi kuelekea Chumo Wilayani Kilwa, Mkoani Lindi, kama walivyonaswa na Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog.
No comments:
Post a Comment