Moja ya sifa kubwa ya kuwa mmiliki mzuri wa Baiskeli a.k.a Ijini Kiuno, ni lazima ujue kuziba pancha pale inapotokea ili uweze endelea na safari yako. Pichani ni Mdau akiisaka pancha kwenye tyubu ya baiskeli yake kama alivyonaswa na Kamera yetu ya Mtaa kwa Mtaa Blog.
No comments:
Post a Comment